Sunday, 5 January 2014

BIDII

Sio wakati wa kulalamika ni wakati wa kufanya kazi kwa bidii au kama unasoma soma kwa bidii. Malipo ni hapa hapa duniani kadri unavyosoma kwa bidii ndivyo unavyoongeza nafasi za ajira.